Korongo na Kobe


Mbarouk S. Habib Paukwa Pakawa ni mfululizo wa visa, mikasa na ngano zilizotungwa ili kuwapa watoto wanaochipuka katika 
mafunzo, chanzo chema. Lugha imerahisishwa na matukio yamepewa msisimuko utakaowafurahisha watoto wote wa nasari, 
pri-uniti hadi darasa la pili, huku wakijimudu katika kuifahamu lunga ya Kiswahili.
Katika Korongo na Kobe, tunawaona marafiki wawili wakitendana. Korongo ajidai ni mwerevu, kumbe Kobe ni mwerevu kumliko. 
Je, hali inakuwaje? Kisa hiki kitawafunulia mengi watoto kuhusu tabia zao.
 

ISBN: 9789966468017 SKU: 2010143000194
KES 228
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review

Products you recently viewed